Odinga: Ni siku ya kihistoria Kenya na kwa Afrika. - Mazengo360

Friday, 8 September 2017

Odinga: Ni siku ya kihistoria Kenya na kwa Afrika.

3

Pichani ni Wafuasi wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga jijini Nairobi wamekuwa barabarani wakisherehekea hatua ya Mahakama kubatilisha Matokeo ya Uchaguzi wa Urais leo September 01,2017.