![]() |
Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain. |
MENEJA wa Liverpool Jurgen Klopp anafikiria kumnunua kiungo wa kati toka Arsenal, Alex Oxlade Chamberlain, mwenye umri wa miaka 23, lakini bado kocha huyo hajafikia maamuzi.
Kulingana na taarifa za
gazeti la Uingereza la “The Daily Mail” limeeleza kwamba, Jurgen Klopp anahofia
huenda kiungo huyo ataweza kufikia kiwango anachohitaji cha uchezaji, hivyo
utata bado unamkabili kuamua.
Kiungo huyo mwenye thamani
ya paundi 25 millioni, anafukuziwa pia na club za Chelsie na Manchester City
lakini, Liverpool ndio inayoonyesha nia ya kumtaka zaidi.
(Habari
na picha, kwa hisani ya The Daily Mail).
No comments:
Post a Comment