MWANAMITINDO
wa
Marekani Olga Valerio, mwenye umri wa miaka 49, amelalamikiwa na majirani zake
katika jengo walilopanga mtaa wa Bay Ridge, Brooklyn kwa kushindwa kuzuia
kelele za utamu anapofanya mapenzi na rafiki yake mwenye umri wa miaka 26.
![]() |
Mwana Mitindo wa Marekani Olga Valerio. |
Mrembo huyo
anaejishughulisha na mambo ya mitindo ya nywele amesema kwamba, anakiri kusababisha
usumbufu huo kwa majirani kwani penzi analopewa na mpenzi wake huyo ni la hali
ya juu sana hadi kushindwa kujielewa.
![]() |
Mwana Mitindo Olga Valerio, 49, akiwa na mpenzi wake Byron Perez mwenye umri wa miaka 26. |
Mpenzi wake huyo ajulikane
kwa jina la Byron Perez hukutana mara kwa mara katika nyumba (apartment) hiyo alikopanga
mrembo huyo, gorofa ya nne na wanapofanya mapenzi, mrembo huyo hupagawa na
kupiga makelele ya utamu muda wote na kusababisha usumbufu kwa majirani,
alieleza kwa kuona aibu.
![]() |
Bintie wa kwanza Olga Valerio, aitwae Dahiana. |
Valerio, ambae ni mama wa
watoto wanne ingali mwanae wa kwanza ambae ni binti mwenye umri sawa na mpenzi
wake huyo, na pia huishi nae katika nyumba yake, alimweleza mwandishi wa habari
hizi kwamba, mwanzo majirani walihisi ni binti yake kumbe lah, ni yeye.
Alisema, “mwanzo
nilipolalamikiwa na majirani nilikana na kuhisi huenda ni binti yangu aitwae
Dahiana, ndie hua anasababisha makelele hayo anapofanya maigizo na mdoli wake,
lakini baadae nikajaafiki na kuomba radhi majirani zangu, alifafanua zaidi
mrembo huyo.
MWISHO.
No comments:
Post a Comment