MWANA SOKA BORA WA FIFA ASHINDA URAIS. - Mazengo360

Breaking

Thursday, 12 October 2017

MWANA SOKA BORA WA FIFA ASHINDA URAIS.

NGULI wa soka barani Afrika na mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA mwaka 1995, George Opong Weah ameshinda uchaguzi wa Urais nchini Liberia.

Mwanasoka wa Afrika George Opong Weah

Mchezaji huyo raia wa Liberia ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or amemrithi aliyekuwa Rais wa nchi hiyo ya Liberia Ellen Johnson Sirleaf ambaye ndiye aliyechaguliwa kupitia uchaguzi wa kidemokrasia nchini humo kwa mara ya kwanza kwa miaka 70 iliyopita.

George Opong Weah enzi zake za kusakata kabumbu.


Taarifa zaidi zitapatikana baadae.

No comments:

Post a Comment